Baada ya kusubiri sana. Leo ndio ile siku tunaianza rasmi safari ya Matumaini hapa uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. Karibu ujiunge nasi. Kama hutaweza kufika unaweza kutazama mkutano LIVE ONLINE. Bofya hapa bit.ly/1LQfLQ3.
Pia mkutano huu utaonyeshwa LIVE na ITV, EATV (Channel 5), Clouds TV na Channel Ten. USIKOSE
No comments:
Post a Comment